Available languages:
Wakimbizi wa Burundi wawasili Uvira, DRC
21 May 2015 - Tangu kuanza kwa mzozo wa kisiasa nchini Burundi, tarehe 25 Aprili, siku ambapo Rais Pierre Nkurunziza ametangazwa kuwa mgombea Urais wa chama tawala, zaidi ya watu 100,000 wamekimbia makwao na kutafuta hifadhi kwenye nchi jirani, ikiwemo Jamhuri ya    ...Read More
Close
Wakimbizi wa Burundi wawasili Uvira, DRC
Tangu kuanza kwa mzozo wa kisiasa nchini Burundi, tarehe 25 Aprili, siku ambapo Rais Pierre Nkurunziza ametangazwa kuwa mgombea Urais wa chama tawala, zaidi ya watu 100,000 wamekimbia makwao na kutafuta hifadhi kwenye nchi jirani, ikiwemo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC. Kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR, ni zaidi ya wakimbizi 9,000 waliofika kwenye eneo la Uvira, Kivu Kusini. Je safari yao ilikuwa vipi? Assumpta Massoi anasimulia zaidi.
Recent On Demand Videos
23 Jun 2017
00:01:31
English
23 Jun 2017
00:01:57
English
23 Jun 2017
00:01:14
Français
23 Jun 2017
00:00:54
English
23 Jun 2017
00:01:24
English
23 Jun 2017
00:00:49
English
23 Jun 2017
00:25:15
English
23 Jun 2017
00:10:12
English
23 Jun 2017
00:10:12
Original
23 Jun 2017
00:56:20
English

19 Chapters

23 Jun 2017
00:56:21
Original

19 Chapters

23 Jun 2017
00:08:32
Original

4 Chapters

23 Jun 2017
00:08:31
English

4 Chapters

23 Jun 2017
02:48:00
Original
23 Jun 2017
02:48:01
English
23 Jun 2017
00:19:55
English

8 Chapters

23 Jun 2017
00:19:56
Original

8 Chapters

23 Jun 2017
00:59:36
English

22 Chapters

23 Jun 2017
00:59:37
Original

22 Chapters